New Music Video “IN MY HEART by Jayels Family with English subtitles and also with Lyrics both in English and Swahili, Enjoy JAYELS FAMILY- IN MY HEART SWAHILI LYRICS CHORUS In my heart In my heart haaaaaa*5 JeanTheHustla (Verse1) Mana yange weee oh mungu wangu tupatie roho za utu ningelia lakini kulia hakika sio mhimu sikizeni kuhusu haa maisha dunia humu shida tupu abortion imekuwa ni kitendo cha kila siku watoto wanatupwa kwa mbolea kama uchafu je mwaona raha mkimwagha hii damu hii damu hii damu wacheni kuwua hawa watoto pia ni binadamu ndio naelewa kipenzi pia ni kitamu usikubali dada ka kuzaa kwako ni tabu kulea ni tabu kwa wale hawajui family planing ni mhimu utaelezwa mengi ata kutumia condom waschana vijana wenza maisha hii ni ngumu uspopata mimba labda utapata hii mdudu hii mdudu hii mduduuuuuuu CHORUS: In my heart In my heart haaaaaa*5 SpaxtheRoyal (Verse2) maisha ni mhimu kwa yeyote mwana damu tumboni myezi tisa akazaliwa kwa machungu bila chakula bila mavazi na tena uchi tupu namshukuru mola kwa kutupa yake nuru ituangazie mchana na usiku wazazi waliposota marafiki watukimbia lakini nilitumaini wakati utawadia tuishi kwa amani na pia kufurahia pesa husemekana ni mauwa ya dunia ambayo huchanuka na mwishowe kuanguka kuanguka, kuanguka LISTEN TO THIS AFRIKAN INTERPRETOR mimi kiumbe kidogo nimeshindwa ni punguwani lakini nilitumaini wakati utawadia tuishi kwa amani na pia kufurahia kile nataka kile nataka si lazima iwe kile naimba kile naimba si lazima iwe ndio …
Posted ByAsha
Posted ByAsha
Superhit Telugu Movie Ninne Pelladatha(1996) starring Nagarjuna & Tabu.
Posted ByAsha
This video shows the stereotypes and differences between spain, germany and usa with the help of the game Taboo (german: Tabu). Created for the english intercultural class. Teacher: Mr. Lauer. University: Lüneburg / Leuphana.
Posted ByAsha
Superhit Telugu Movie Ninne Pelladatha(1996) starring Nagarjuna & Tabu.
Posted ByAsha
Superhit Telugu Movie Ninne Pelladatha(1996) starring Nagarjuna & Tabu.
